Friday, July 15, 2011

UPENDO WA MUNGU NI KAMA MAMA NA MWANA

Bado naendelea kumtafakari Mungu wangu kwani huwa nashindwa kulinganisha upendo wake juu yetu sisi wanadamu kwani ninaweza kusema ni kama kuku akumbatiavyo vifaranga vyake au kama mama na mwana.



kwani mama huwa anampenda mwana kwa hisia zote hebu cheki hii picha harafu utaniambia
 

No comments:

Post a Comment