Kwani tangu wiki mbili zilizopita nilikuwa najisikia vibaya, kichwa kilikuwa kinaniuma na mwili kwa ujumla kwa mawazo yangu nilijua tu lazima itakuwa ni Maralia na kila mtu niliyemwambia aliniambia kuwa hiyo itakuwa ni malaria tu but kuna baadhi ya watu walinishauri ninywe maji kwa wingi. Jamani huwezi amini nilikunywa maji bila kutumia dawa ya aina yeyote ile na nikapona kabisaaaaaaaaa.
jamani tuwe na taratibu ya kunywa maji kila wakati japo wataalamu wanatushauri tunywe lita 5 kwa siku najua wengi hatuwezi but angalau tuwe tunakunywa 2 au 3 kwa siku.
tutaepukana na magonjwa mengi wapendwa.
No comments:
Post a Comment