Karibuni katika Blog hii ili tuweze kufurahia mambo mbalimbali ya Mungu pamoja na jamii kwa ujumla,utapata maneno ya Mungu,picha za harusi na mambo mengi. Nakukaribisha wewe mdau ili tuweze kufurahia,kuelimika na kubadilishana mawazo yetu. Karibu sana.
Friday, July 15, 2011
HII NDIYO NGAO YETU SISI WAKRISTO
PLEASE READ THE BIBLE DAILY
Nakumbuka kuna wimbo mmoja unasema kuwa
Neno lako ni taa ya miguu yangu na nimwangaza wa njia zangu kila ninapo......................................... huwa nabarikiwa sana na wimbo huu.
No comments:
Post a Comment