Kila nikikaa huwa namtafakari Mungu wangu kwani ametenda mambo mengi katika maisha yangu, kwanza kunipatia uhai namrudishia sifa na utukufu kila wakati. Nikiwaza kuhusu uumbaji wake tangu kuumbwa kwa ulimwengu kwa kweli huwa nastaajabu. Hayo yote ametenda yeye na inatupasa kupiga magoti kila wakati kumuomba na kumshukuru.
Asante Mungu wangu na ninakupenda.
Ndugu yangu nakushauri usiache kumuomba mungu wako kwa kila jambo jema au baya linalotendeka kwako.
No comments:
Post a Comment